Bajeti kusomwa leo, Mawaziri waliosoma kwa miaka 5
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango
Leo Juni 11, 2020 Bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/21 itawasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dkt. Philip Mpango Saa 10:00 Jioni.