T-Bway aeleza sekeseke la ujauzito wa Kim Nana
Mtangazaji wa show ya 5Selekt ya East Africa TV TBway 360, amesema anahitaji tuzo za kumvumilia mpenzi wake Kim Nana kipindi cha ujauzito wake, kwani alikutana na changamoto nyingi na aliweza kuzishinda.