Mwanaume ajipeleka polisi akiwa uchi kisa fumanizi
Mwanaume aliyefumaniwa akiwa kituo cha polisi
Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha kituo cha polisi cha Embakasi Jijini Nairobi akiwa hana nguo baada ya kukimbia kutoka kwenye fumanizi nyumbani kwa mke wa Mwanajeshi.