Yanga watinga Bungeni na kupewa heshima

Wachezaji wa Yanga wakiwa katika Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.

Wachezaji na viongozi wa Yanga leo Juni 15, 2020 wamefika Bungeni Dodoma wakitokea Shinyanga baada ya mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Mwadui FC uliopigwa Jumamosi na Yanga kushinda goli 1-0. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS