Walker wa Man City adai kunyanyaswa kisa Corona Mlinzi wa klabu ya soka ya Man City na timu ya taifa ya England Kyle Walker Mlinzi wa klabu ya soka ya Man City na timu ya taifa ya England Kyle Walker, amesema kitendo cha kumshtaki kisa kutembelea ndugu zake ni kumfanyia unyanyasaji. Read more about Walker wa Man City adai kunyanyaswa kisa Corona