Ahadi za Balozi Karume baada ya kuchukua fomu

Balozi Ali Abeid Karume akichukua fomu

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, Balozi Ali karume amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar leo, zoezi lililofanyika katika Ofisi Kuu za chama hicho, Kisiwandui Mjini Unguja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS