TP Mazembe kuhusu kumsajili nyota wa Aston Villa Jean Makoun alipokuwa akichezea Aston Villa Klabu ya soka ya TP Mazembe ya nchini DR Congo, imekanusha tetesi za kumsajili kiungo wa zamani wa klabu za Lyon na Aston Villa Jean Makoun raia wa Cameroon. Read more about TP Mazembe kuhusu kumsajili nyota wa Aston Villa