Mchepuko 'wamponza' Mwanajeshi feki
Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Mrisho Ibrahimu mwenye umri wa miaka 34 kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Wananchi (JWTZ), ambazo imedaiwa aliziiba kutoka katika nyumba ya Baba Mkwe wake, mkoani Arusha.