"Ni utoto kuchukua fomu, sitaki kuvunjika guu"- RC

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesema kuwa hawezi kukiuka maagizo ya Rais Magufuli aliyowataka wateule wake kuridhika na nafasi walizonazo, hivyo ameamua kuendelea kuwatumikia wananchi wake na hivyo hawezi tena kukimbilia kugombea Ubunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS