Fahamu kisa cha mwanamke aliyewanyonga wanaye
Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni kweli alifanya tukio hilo na alilitekeleza kwa kumnyonga mmoja baada ya mwingine na kwamba alikuwa anajisikia vizuri mno wakati anatenda unyama huo.

