Idadi ya vikao vya Yanga, La Liga na Sevilla Viongozi wa Yanga wakiendelea na semina ya kushirikiana na wataalamu kutoka La Liga na Sevilla FC. Klabu ya Yanga, imesema mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu unakwenda vizuri. Read more about Idadi ya vikao vya Yanga, La Liga na Sevilla