Kim Nana aeleza alivyojichanganya ujauzito wake
Kupitia kipindi cha MamaMia ya East Africa Radio, mtangazaji wa kipindi cha 5Selekt ya East Africa TV, T Bway 360 alisema kabla hawajapata mtoto na mzazi mwenziye, kulikuwa na ujauzito mwingine ambao hajui ilikuaje haukuonekana tena.