Kinda wa Ujerumani Kai Haverts (Pichani) anawania na vilabu vikubwa Barani Ulaya.
Klabu ya Chelsea ya England inakaribia kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Kai Havert kutoka Bayer Leverkusen ya Ujerumani kwa ada ya uhamisho ya pauni million 73.