Lineker ataka Giroud apewe heshima anayostahili.

Mshambuliaji wa Chelsea Olivier Giroud (katika picha) akishangilia bao alilofunga jumanne dhidi ya Norwich City.

Gwiji wa zamani wa soka Gary Lineker amesema kuwa mara zote anafikiria kuwa mshambuliaji wa Chelsea, Olivier Giroud hapewi heshima yake anayostahili kutokana na mchango wake katika timu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS