Juventus yashindwa kutangaza ubingwa Juventus inahitaji kushinda mechi 1 kati ya 3 kutawaa ubigwa wa Serie A Juventus imechemsha kutwaa ubingwa wa Serie A mapema baada ya kufungwa 2-1 na Udinese kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Italia. Read more about Juventus yashindwa kutangaza ubingwa