Mchenga Bball Stars wasisitiza elimu kwa wachezaji
Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya mpira wa kikapu ya Sprite Bball Kings yanayoandaliwa na kituo cha EATV LTD, Mchenga Bball Stars wataanza kampeni zao za kucheza ligi ya Taifa ambapo siku ya Jumamosi watachuana na Jogoo katika mchezo wa D League katika uwanja wa Harbours Club uliopo Ba

