Mourinho ampa tano Harry Kane.
Kocha mkuu wa klabu ya Tottenham Hotspurs Jose Mourinho amemwagia sifa mshambuliaji wake Harry Kane kwa kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Newcastle United ambayo yanamfanya afikishe mabao 200 katika ngazi ya vilabu.

