Mfaume aahidi kumchakaza Mfilipino Agosti

Bondia Mfaume Mfaume akijifua kuelekea pambano lake na Arnel Tinampay Agosti 28

Bondia Mfaume Mfaume ameendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka imara kuelekea pambano lake la kimataifa dhidi ya Bondia kutoka nchin Ufilipino, Arnel Tinampay, litakalofanyika mwezi ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS