Man Utd,Arsenal na Spurs,zawania saini ya Willian

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea Willian bado hatima yake haijajulikana ndani kikosi cha The Blues.

Timu tano zinamuwania Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Chelsea ya Uingereza Willian kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo Kia Joorabchian. Miongoni mwa vilabu hivyo viwili ni vya ligi kuu England EPL, nyingine ni kutoka ligi ya soka Marekani MLS .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS