JPM ateua, Katambi, Prof Mkumbo na Ole Sendeka nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi kwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa hapa nchini, pamoja na Makatibu Wakuu na Manaibu ambao wataapishwa Jula 20, 2020, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

