Shule ya sekondari Kinyererezi yapewa sifa
Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene ameipongeza Shule ya Sekondari Kinyerezi ya jijini Dar es Salaam kwa kuwalea wanafunzi kwa mrengo wa kisasa hali inayopelekea kuibua na kukuza vipaji vingi