Madereva Mtandao Wagoma Dar es Salaam
Madereva wanaotoa huduma za usafiri kupitia mtandao wameandamana wakishinikiza kupungua kwa makato wanayotozwa na watoa huduma mtandaoni (commission) kutoka asilimia 25 mpaka asilimia 10. Kwani asilimia 25 wanayotozwa haina faida kwao