Dhamana ya Boniface Jacob kujulikana Oktoba 7
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia kutoa uamuzi wa dhamana ya akiyekuwa meya wa manispaa ya Ubungo Boniface Jacob (Boni Yai), baada ya Mahakama hiyo kutupillia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya Boniface Jacob.