Mbunge Acharuka ujenzi shule ya Ufundi
Mbunge wa jimbo la makambako Deo Sanga amemtaka waziri wa elimu kuhakikisa anatekeleza ujenzi wa shule ya ufundi katika wilaya ya makambako ili kufundisha wanafunzi katika wilaya hiyo kwa eneo limeshatengwa na lipo tayari kwa ujenzi.