Hatima ya Ten Hag United kujulikana leo
Kocha wa Manchester United hatima yake katika kikosi cha Mashetani Wekundu kujulikana leo baada ya kikao cha zaidi ya masaa mawili walichokaa Mabosi wa United siku ya jana Oktoba 7/ 2024 kujadili muenendo wa timu hiyo ambayo haijapata matokeo ya ushindi katika michezo mitano mfululizo