Wakenya wataka Naibu Rais aondolewe madarakani Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua Zaidi ya asilimia 65 ya Wakenya wameunga mkono kuondolewa madarakani kwa Naibu wa Rais wa nchi hiyo Rigathi Gachagua. Read more about Wakenya wataka Naibu Rais aondolewe madarakani