Wanachama 60 CHADEMA wahamia CCM Katibu mkuu CCM Balozi Dkt. Nchimbi akiwakaribisha wanachama wapya mkoani simiyu Katibu mkuu chama cha mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapokea wanachama Zaidi ya 60 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kuhamia CCM katika wilaya ya Itirima mkoani simiyu Read more about Wanachama 60 CHADEMA wahamia CCM