Jamii Yatakiwa Kuweka Usawa Wa Jinsia Jamii imetakiwa kuonesha umuhimu wa usawa wa kijinsia kuanzia ngazi ya familia ili watoto wanapofika kwenye ngazi mbalimbali za Elimu wawe na uelewa mpana utakaowasaidia kuepukana na changamoto za ukatili. Read more about Jamii Yatakiwa Kuweka Usawa Wa Jinsia