Wadau wa Habari watakiwa kutoa ushirikiano
Viongozi wa Serikali wametakiwa kutoa ushirikiano unapohitajika kwa waandishi wa habari ili kuepusha migogoro baina yao ambayo kuna muda imekuwa ikitokea kwa waandishi wa habari kutoa taarifa hizo bila kuweka upande wao.