"Bora nife kuliko kuongezewa Mke" - Lulu Diva Picha ya Lulu Diva ndani ya Planet Bongo Msanii wa kike wa BongoFlava Lulu Diva anasema bora afe lakini hawezi kuolewa na mwanaume ambaye atakuwa anatamani kuongeza mke wa pili. Read more about "Bora nife kuliko kuongezewa Mke" - Lulu Diva