Zanzibar kujenga kiwanja kipya AFCON2027
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali yake ina mpango wa kujenga kiwanja cha mpira wa miguu cha kimataifa kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027 zitakazofanyika nchi tatu za Afrika Mashariki.