Victor Gyokeres na Julian Alvarez
Baada ya sare ya 1-1 kule Madrid wiki iliyopita, timu zote zinahitaji ushindi ili kufika fainali ya Budapest nchini Hungary.
Arsenal huenda ikawakosa Martin Ødegaard na Kai Havertz ambao walikosa mazoezi ya mwisho, huku Jurriën Timber na Mikel Merino wakiwa nje kwa majeraha huku
Atletico, Antoine Griezmann na Julián Alvarez wanatarajiwa kuongoza mashambulizi, huku beki Clément Lenglet akirejea kikosini.








