Wednesday , 10th Dec , 2025

Rekodi hizi kumi kwenye soka zitakuacha mdomo wazi

Rekodi 10 za soka

Hizi hapa rekodi 10 za soka ambazo wengi hawazifahamu;

  1. Neymar Alifika Top 10 kwenye tuzo za Ballon d’Or akiwa anacheza nje ya Ulaya (Santos FC)
  2. Cristiano Ronaldo mwaka 2016 alishinda mataji mingi kuliko idadi ya mechi alizopoteza (Mataji 4, kupoteza mechi 3)
  3. Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyeshinda tuzo ya Ballon d’Or katika Miongo mitatu Tofauti.
  4. Antonie Griezmann hajawahi kushinda kombe la ligi kuu ya Nchini Uhispania (La Liga) akiwa katika Klabu ya Atletico Madrid
  5. Mwaka 2005 Kocha Jose Mourinho akiwa katika Klabu ya Chelsea aliweka rekodi ya kuruhusu magoli 15 pekee EPL.
  6. Aberdeen FC ndiyo Klabu ya mwisho kuifunga Real Madrid kwe fainali ya UEFA CL 1983
  7. Hakuna Kocha yeyote Muingereza aliyefanikiwa kushinda Kombe la Ligi kuu ya nchini Uingereza EPL
  8. Mohamed Salah alishinda tuzo ya goli bora la mwaka 2018 lakini goli hilo halikushinda tuzo ya goli bora la mwezi EPL.
  9. Cristiano Ronaldo hajacheza katika Ligi kuu ya Nchini Ujerumani lakini amefunga magoli mengi dhidi ya golikipa Manuel Nuer
  10. Diego Maradona amewahi kucheza katika Klabu ya Tottenham Hotspur