Tuesday , 15th Jul , 2025

East Africa TV, East Africa Radio na Digital zake inatanguliza salam za pole kwa msanii Mrisho Mpoto kwa kufiwa na Mke wake siku ya leo.

Picha ya Mrisho Mpoto na aliyekuwa Mke wake

Taarifa hiyo ameishia Mrisho Mpoto mwenyewe akiandika "Ngumu kuamini nimefiwa na Mke wangu".

Pole kwa Mrisho Mpoto, familia yake na watu wake wa karibu kwa kuondokewa na mpendwa wao.