
Picha ya 50 Cent
50 Cent amefunguka hilo kwenye Podcast ya 'Brian Roberts' wakizungumzia kuhusu biashara,sanaa na namna ya kutoboa kimaisha.
"Watu wengine wanajua jinsi ya kuishi vizuri zaidi kuliko wengine wakiwa na pesa au bila pesa" - 50 Cent
Kingine ambacho amesisitiza 50 Cent ni mtu kupata ushindani kwenye anachokifanya sababu inakufanya ujitume zaidi na kufanikiwa.