
Liam Roberts akimfanyia foul Jean-Philippe
Mlinda mlango huyo alionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kumjeruhi Mateta ambaye alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kuumia katika sikio la kushoto na kukimbizwa hospitalini ambapo ameshonwa nyuzi 25 katika jeraha hilo
Baada ya kadi hiyo nyekundu Roberts atakosa michezo mitatu ukiwepo mchezo wa kesho timu hiyo inayoshika nafasi ya 12 ya Championship itakapokutana na na Bristol City