Monday , 23rd Sep , 2024

Mtoto mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe (Nicole Mbowe) ambae alikamatwa na jeshi la polisi ameachiliwa mara baada ya kukamatwa maeneo ya Magomeni alipokuwa na baba yake wakati wa maandamano.

 

Nicole ameoneka nje ya kituo cha polisi Osterbay akiwa pamoja na mama yake mzazi Dr. Lillian Mtei Pamoja na wakili Peter Kibatala. Itakumbukwa kwamba Asubuhi ya leo mke wa Mbowe na mtoto wake walikamatwa kwa nyakati tofauti tofauti