Friday , 23rd Aug , 2024

kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amesema ya kuwa atafungua mazungumzo ya mkataba mpya na kikosi hicho baada ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili usiku wa Agosti 30.

 

Hii inakuja baada ya kocha huyo mwenye miaka 42 kuwa kwenye msimu wa mwisho katika mkataba wake huku pande zote mbili zikiwa tayari kuendelea kufabya kazi pamoja ikiwa wataafikiana kwenye masharti mbalimbali