Wednesday , 7th Aug , 2024

Kamala Harris amemchagua Tim Walz kuwa mgombea mwenza wa kuwania kiti cha Urais nchini Marekani wakiwa kama wawakilishi wa chama cha Democratic Party

 

Tim Walz mbali na kutajwa na Kamala kama mgombea mwenza pia ni gavana wa jimbo  Minnesota tangu mwaka 2019 akitumika ndani ya chama cha Democratic

Kamala akisimama na  Tim Walz kwa upande wa pili wa chama cha Republican ambapo anasimama  Donald Trump yupo na JD Vance kama mgombea mwenza.