Thursday , 20th Jun , 2024

Kampuni ya Apple imejikuta ikishtakiwa na mfanyabiashara mmoja huko nchini uingereza baaada mke kukuta jumbe alizokuwa aki-chat na mpango wa kando.

Kwa mujibu wa mwanaume huyu anasema jumbe hizo alikwisha zifuta kwenye simu yake, lakini ameshangaa kuona mke wake amefanikiwa kuziona jumbe hizo,

Hivyo kupelekea yeye kuchukua uamuzi wa kuishtaki kampuni ya Apple kwa kushindwa kutunza faragha za mteja wa kifaa kutoka kwao, na kuwataka wamlipe kiasi cha Euro 5 ambayo ni sawa na shilingi elfu 13,983 kwa pesa ya Tanzania.

Chanzo: Punch Newspapers