![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2024/03/25/Snapinsta.app_431529342_18430321675047601_7745851853377358244_n_1080.jpg?itok=t0i8LMTn×tamp=1711379956)
Magoli ya Taifa Stars yamefungwa na washambuliaji Kelvin Pius John dakika ya 49,Abdul Suleiman Sopu mnamo dakika 62 na kiungo Novatus Dismas aliyefunga bao la 3 mnamo dakika ya 79.
Huu ni mchezo wa pili kwa Stars kucheza kwenye michezo ya FIFA Series 2024 baada ya mchezo wa kwanza kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Bulgaria Ijumaa ya Machi 22-2024