Picha ya Ben Pol na Diamond Platnumz
Leo anatusanua kuwa ngoma hiyo ilitakiwa afanye na CEO wa Lebo ya WCB Diamond Platnumz, bonyeza kwenye video hapo akifunguka sababu iliyofanya Diamond kukosekana kwenye ngoma hiyo.
Imepita miaka 7 sasa tangu The Best RnB Singer Ben Pol kutoa Hit yake ya 'Moyo Mashine' yenye Views Milioni 12 mjini Youtube.