Picha ya Rayvanny na Mama Burna Boy
Rayvanny ameshea picha hii kwenye Insta Story yake akiandika
“Mama ni mama, sikujua kama una upendo huo kwa muziki wa Tanzania”.
Rayvanny ni mmoja ya mastaa wa Africa walioshuhudia live tukio hilo la utolewaji wa tuzo kubwa za muziki duniani zilizofanyika mara 66 tangu kuanzishwa kwake.