Thursday , 1st Feb , 2024

Msanii Whozu anasema ikitokea ameachana na mpenzi wake Wema Sepetu ataenda kujitupa baharini na mazishi yatafanyika kwao Moshi,Kilimanjaro.

Picha ya Whozu

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio.