Tuesday , 28th Nov , 2023

"Leo tunatamatisha shauku iliyokuwepo kwa siku kadhaa, Haikuwa jambo rahisi maana lengo letu kama klabu tulitaka mwalimu ambaye atatupeleka mbali. Kumpata mwalimu mzuri ni mchakato mkubwa sana."- Amesema CEO wa klabu ya Simba, Imani Kajula