Picha ya msanii Beka Flavour
Beka Flavour amefunguka hilo kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa Radio inayoruka kila siku ya J3 mpaka Ijumaa kuanzia 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.
Zaidi tazama hapo chini kwenye video inteview nzima aliyofanya.
Msanii wa BongoFleva Beka Flavour ametia neno kuhusu madai ya taarifa za wasanii kurogana kwenye muziki na njia wanazozitumia ili kufanya vizuri.