
Maziko yake yanatarajiwa kufanyika leo saa 10 jioni Zanzibar.
Mkurugenzi wa sasa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina amethibitisha kifo taarifa hiyo
“"Ni kweli Jecha amefariki na tunasubiri mwili wa marehemu kutoka Dar es salaam na kuwasilishwa hapa Unguja kwa ajili ya mazishi leo saa 10 jioni"
Jecha atakumbukwa kwa maamuzi ya kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar mwaka 2015 akidai Uchaguzi huo haukuwa huru na gaki na kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa Sheria za Uchaguzi