Saturday , 14th Feb , 2015

Ikiwa leo ni siku ya wapendanao, maarufu kama Valentines Day kwa upande wa tasnia ya Burudani, wasanii pia wamekuwa na namna zao mbalimbali za kuiadhimisha siku hii mbali na shughuli zao za maonesho leo hii.

Dyna Nyange

Kwa niaba ya mastaa wengine ambao wanafanya poa katika tasnia hii ya burudani, eNewz tumeweza kufuatilia kujua siku hii inakwendaje kwa upande wao, ambapo utamsikia Madee na vilevile mwanadada Dayna ambao wameshare kile watakachokuwa wanafanya katika siku ya leo.