Friday , 6th Jan , 2023

Video imesambaa mitandaoni ikimuonesja mwanamume mmoja akiwapa zawadi ya kuni maharusi ambao nao waliiopokea zawadi hiyo wakiwa wamejawa na tabasamu kwenye nyuso zao.

Wanandoa wakipokea zawadi za kuni

Video hiyo imeibua hisia tofauti kutoka mitandaoni huku baadhi wakitoa maoni kuwa chaguo la zawadi hiyo ilikuwa ya kufurahisha. 

Wengine hata hivyo, walichukulia kwa uzito tukio hilo wakisema kwamba kuwapa wanandoa kuni kwenye siku yao ya harusi ni ishara mbaya.