Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali kuwasaka wanaokata miti ovyo.

Sunday , 27th Nov , 2022

Serikali Mkoani Pwani, imeagiza wavunaji holela wa mazao ya misitu wanaovuna bila kufuata sheria kwenye hifadhi za Misitu na vyanzo vya maji waondoke mara moja katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Mkuu wa mkoa wa Pwani , Abubakari Kunenge

Mkuu wa mkoa wa Pwani , Abubakari Kunenge akiwa pamoja na kamati ya usalama ya mkoa, viongozi wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki na wilaya ya Kibaha, alitoa tamko na maagizo hayo kwa waandishi wa habari Mkoani Pwani.

Kufuatia hatua hiyo, imeweka msimamo kuanzia sasa inaendelea na operesheni ya usiku na mchana kuwaondoa wanaofanya shughuli za uvunaji wa mazao ya misitu.

Ameelezea kwamba, yeyote atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria ili iwe fundisho kwa wengine.Alielezea kwamba, wafanyabiashara wa mkaa,wanaokata miti,kuni na fito ,muenendo huu haukubariki hata kidogo akiwaasa wananchi kushiriki kikamilifu katika kuhifadhi vyanzo vya maji.

Mkuu huyo wa mkoa ,amewataka viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya chini pamoja na wakuu wa wilaya wasimamie utekelezaji wa maagizo hayo pamoja na vibali vya uvunaji wa mazao ya misitu.

"Uvunaji ni mkubwa na tunashuhudia athari iliyopo sasa katika upatikanaji wa maji , wananchi waanze kuona umuhimu wa matumizi ya nishati mbadala ,Kwani uharibifu upo kwa kiwango kikubwa ,Tushirikiane kuendelea kupunguza tatizo hilo "alisisitiza Kunenge.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90